Sebanyak 75 item atau buku ditemukan

Zakat

Kadar tersebut baik dikeluarkan dari badan seperti zakat fitrah maupun
dikeluarkan dari harta benda selain zakat fithrah- Zakat ialah salah satu pokok
dari pada Agama Islam. Zakat ini mulai difardlukan (diwadjibkan) ialah : a. Zakat
Fitrah ...

Swali la Sheikh Abdulla Saleh al-Farsy wa Zanzabar na Jibu la Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf

Kitabu hiki ni tarjuma ya barua kutoka kwa Mwanachuoni mashuhuri na maarufu katika Afrika Mashariki Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy, Jibu la Imam Muhamed Husain Kashiful Ghita, mwanachuoni kutoka Iraq anayetambulika kimataifa.

Wanafikra na waandishi wengi wa Kisunni ambao walikuwa na mtazamo mbaya
kuhusiana na Ushia, walirekebisha fikra zao baada ya hotuba hiyo. Baada ya
kusikia hotuba hiyo ya Mwanachuoni mkubwa wa Kishia, walitambua kwamba ...