Swali la Sheikh Abdulla Saleh al-Farsy wa Zanzabar na Jibu la Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf
Kitabu hiki ni tarjuma ya barua kutoka kwa Mwanachuoni mashuhuri na maarufu katika Afrika Mashariki Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy, Jibu la Imam Muhamed Husain Kashiful Ghita, mwanachuoni kutoka Iraq anayetambulika kimataifa.
- ISBN 13 : 9987620094
- ISBN 10 : 9789987620098
- Judul : Swali la Sheikh Abdulla Saleh al-Farsy wa Zanzabar na Jibu la Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf
- Pengarang :
- Penerbit : Bilal Muslim Mission of Tanzania
- Bahasa : sw
- Tahun : 1999
- Halaman : 26
- Halaman : 26
- Google Book : http://books.google.co.id/books?id=4xkYBAAAQBAJ&dq=intitle:al+fikra&hl=&source=gbs_api
-
Ketersediaan :
Wanafikra na waandishi wengi wa Kisunni ambao walikuwa na mtazamo mbaya
kuhusiana na Ushia, walirekebisha fikra zao baada ya hotuba hiyo. Baada ya
kusikia hotuba hiyo ya Mwanachuoni mkubwa wa Kishia, walitambua kwamba ...